20140416-204209.jpg
Rating: - 0

[Picha] Somewhere in Dar. LEO!

April 16, 2014 / by / 0 Comment

Hizi ni sehemu chache za Jiji la Dar Es Salaam LEO. Ikiwemo OHIO Street City Centre, Jengo la COSTECH Sayansi Kijitonyama na kwingine.

READ MORE
20140416-110610.jpg
Rating: - 0

[News:Picha] “Westigate Terror Attack Photographer”, ashinda AWARD kwa Picha za Matukio ya Uvamizi Huo

April 16, 2014 / by / 0 Comment

Photographer ambae mwenye makazi mjini Nairobi ameshinda “Pulitzer Award” kwa kazi aliyoifanya ya kupiga picha katika uvamizi uliofanywa na majasusi wa Al-shabaab katika Mall ya Westgate mjini Nairobi Nchini Kenya. Ikiwa Film Actors wanashinda OSCARS and MTV Movie Awards, TV Personality wanashinda EMMYS, Wanamuziki wanashinda GRAMMYS na Journalist nao wana award yao ijulikanayo kama Pulitzer Prize. Award hii ambayo ilianzishwa mwaka 1917 na Joseph Pulitzer, The Pulitzer award ni kwa ajili ya wana habari ambao wanasherehekea mafanikio ya kuripoti matukio mbali mbali na mengine makubwa kama vita na uvamizi wa majasusi kama iliyotokea katika Mal ya WESTGATE mjini Nairobi hivi karibuni. Washindi hao ambao ealitangazwa jana ndani ya COLUMBIA University New York City Nchini Marekani na mpiga picha huyo ajulikanaye kwa jina la TYLER HICKS kutoka NEW YORK TIMES ambae makazi yake ni mjini Nairobi Nchini Kenya alijinyakulia ushindi wa “Pulitzer award” kwenye Category ya “Breaking News Photography” na hii ni kutokana na picha ambazo zimeonyesha ufundi na umakini ambao aliufanya wakati akipiga picha hizo wakati wa “Terrorist Attack” iliyofanyika ndani ya WESTIGATE Mall mjini humo.

READ MORE
j
Rating: - 0

[ New Song ] Country Boy, Tash Viva, Cannibal, Leo Mysterio, P The MC & Gway – Tunaleta Kwere

April 16, 2014 / by / 0 Comment

Baada ya Life Goes on iliyoshirikisha wasanii kama Kala Jeremiah, G Nako, Da Hustler na wengine, hii ni release nyingine toka kwenye project ya kubwa kuliko ambayo inategemewa kuwa project ambayo itashirikisha wasanii wengi kuliko zote zilizoshawahi kutokea nchini, “Napenda kufanya hivi kwasababu inatoa nafasi kubwa kwa wasanii mbalimbali kutoa mawazo yao kwa jamii, pia inatengenezea wasanii wadogo nafasi flani nzuri katika industry, tunashukuru sana media zote kwa kutusupport,na jamii nzima kwa kutupokea”, alisema John B, Wimbo huu umetengenezwa na John B ndani ya studio za Grandmaster Arusha. John aliongezea kua “napenda pia kutambulisha upande wangu mwingine ambao utanisaidia kusimamia hii ngoma kwenye social networks,kampuni ambayo nipo na ndugu yangu Joel Joseph Fresh120 Media,tupo hapa www.fresh120media.com, twende sawa,mengi yaja,pamojah sana”

READ MORE
www.bongoflavalink.blogspot.com
Rating: - 0

[Video:Teaser] Tanzania All Stars – Miaka 50 ya Muungano

April 16, 2014 / by / 0 Comment

Zikiwa zimebaki siku chache tu tusherehekee miaka 50 ya muungano wasanii wa muziki wameungana na kutengeneza wimbo wa pamoja kwa ajili ya kusherehekea siku hiyo. Wimbo huu umewakutanisha wasanii wa nyimbo za Injili, Taarab na Bongo Flava. Wimbo umeandikwa na Ditto na Amini na kurekodiwa kwenye studio za Surround Sounds. Na hii ni video Teaser ya wimbo huo utaotoka siku za hivi karibuni.  

READ MORE
url
Rating: - 0

[News:Video] Huu ndio ujio mpya wa ‘Wagosi wa Kaya’.

April 15, 2014 / by / 0 Comment

BAADA ya ukimya wa muda mrefu zaidi ya miaka 8, kundi la ‘Wagosi Wa Kaya’ lenye makazi yake mkoani Tanga, warejea tena katika game ya muziki wa kizazi kipya huku wakiwa tayari wamemaliza maandalizi ya albamu yao waliyoipa jina la

READ MORE
url
Rating: - 0

[New Video] Nameless “Ng’anga’ana”

April 15, 2014 / by / 0 Comment

Mwanzoni mwa mwaka huu kulitokea uvumi kuwa msanii Nameless kutoka nchini Kenya atastaafu shuguli za muziki mwaka huu, yaani 2014, Uvumi huo ulitokana na jina la album mpya ya Nameless ambayo inatarajiwa kutoka mwaka huu.

READ MORE
20140415-090400.jpg
Rating: - 0

[News] TAMKO LA KATIBU MKUU KIONGOZI KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU HATI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

April 15, 2014 / by / 0 Comment

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz

READ MORE
2014-mtv-ma-generic-940x360
Rating: - 0

[ News ] Washindi wa MTV Movie Awards

April 14, 2014 / by / 0 Comment

Siku ya jana ndani ya jiji la Los Angeles kulitolewa tuzo MTV Movie Awards. Tuzo hizi hutolewa kila mwaka na MTV ambapo washindani hupendekezwa na waandaaji na wa filamu kisha washindani kupigiwa kura na

READ MORE
20140414-211219.jpg
Rating: - 0

[Music || Fashion & Lifestyle] ‘The Carters’ washerehekea Ushindi wa ‘$600M Lawsuit’ ndani ya “COACHELLA Music Festival”

April 14, 2014 / by / 0 Comment

“The Carters” Week End hii walikua wanajiachia mitaa ya East Coast ambapo wameahiriki katika moja ya Festivals kubwa sana duniani inayofanyika kila mwaka “Coachella Music Festival”. BEYONCE Knowles CARTER aka

READ MORE